Lema kulia, Mbowe na Nassari wakiwa mahakamani muda mfupi kabla ya kuanza kusikiliza rufani ya mbunge huyo.
Mawakili wakiwa kwenye viti vyao wakipitia rufaa hiyo kabla ya kutoa hukumu.
Hawa ndiyo waliokuwa wamefungua kesi dhidi ya lema wakiwa katika mahakama hiyo wakisubiri kutolewa kwa rufaa ya hukumu ya kesi hiyo
Mahakamani,lissu,nassari,mwenyekiti mbowe na kilewo wakiteta na mke wa lema
Lema akianza kutoa hotuba fupi baada ya kutoka mahakamani.kulia ni joshua nassari
Vitalisi kimomogoro,wakili wa lema.huyu ndiye amekuwa na kesi hii tangu kuanza
Tundu lisu,mtetezi wa lema.aliingia baada ya kesi kufika mahakama ya rufaa.ameshangiliwa sana
Askari wakisindikiza msafara wa wafuasi wa CHADEMA
Hapa Lema akiwa na Henry Kilewo wakati wa maanddamano ya kutoka mahakamani kuelekea makao makuu ya Chadema, Kinondoni
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !