Headlines News :
Home » » ANGALIA JINSI MR SUGU ALIVYOWATULIZA WANA CHADEMA KUTOINGILIA MKUTANO WA CCM

ANGALIA JINSI MR SUGU ALIVYOWATULIZA WANA CHADEMA KUTOINGILIA MKUTANO WA CCM

Written By Unknown on Saturday, January 12, 2013 | 4:17 AM

 Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADE,A) akiwa juu ya gari lake, akiwasihi wakereketwa wa chama hicho kutoingilia Mkutano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), uliofanyika eneo la Stendi ya daladala ya Kabwe Jijini Mbeya.
 Taswira kamili ya Mbunge akizungumza na wanachama wa CHADEMA
 Taswira kamili ya hatua waliyokuwa wameifikia wanachama wa CHADEMA kwa ishara ya kuwa CCM imezikwa kaburini.
Picha na Mpiga picha wetu Ezekiel Kamanga,Mbeya.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Tutafute katika Facebook

Followers

SIKILIZA MZIKI

 
Thanx to: Eddie Sucre | Boniface Joseph | Brown Best
Copyright © 2011. Uwanja Wa Habari Na Burudani - All Rights Reserved
Imetengenezwa Na Gody Godwin Unstoppable Nipigie kwa 0714 13 73 02
Proudly powered by Blogger