Headlines News :
Home » » KAULI YA KWANZA YA BOB JUNIOR KUHUSU NDOA ALIYOFUNGA KIMYA KIMYA

KAULI YA KWANZA YA BOB JUNIOR KUHUSU NDOA ALIYOFUNGA KIMYA KIMYA

Written By Unknown on Saturday, January 12, 2013 | 4:29 AM

KUTOKANA na ndoa hiyo kuwa ya aina yake, hivi karibuni waandishi wetu walimuweka kati Bob Junior na kumbana kwa maswali  ya “why, kwanini, ikawaje” aoe kimyakimya wakati yeye ndiye ‘prezidaa’ wa masharobaro?

Bob Junior akafunguka: “Nilifunga ndoa Desemba mwaka jana. Nililazimika kuoa kimyakimya kutokana na masharti ya wazazi wa pande zote mbili kwamba ndoa isifungwe kwa mbwembwe.”
Alisema, hata idadi ya wahudhuriaji katika ndoa hiyo ilidhibitiwa, hivyo kuruhusu ndugu na marafiki wachache kushuhudia tukio hilo.
“Kikubwa ni kufunga ndoa inayompendeza Mungu ili atupe Baraka zake na tuishi katika maisha yanayompendeza.
“Kwa Watanzania, napenda wajue tu ukweli kwamba nimeoa na mke wangu anatarajiwa kujifungua hivi karibuni,” alisema Bob Junior a.k.a Mr. Chocolate.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Tutafute katika Facebook

Followers

SIKILIZA MZIKI

 
Thanx to: Eddie Sucre | Boniface Joseph | Brown Best
Copyright © 2011. Uwanja Wa Habari Na Burudani - All Rights Reserved
Imetengenezwa Na Gody Godwin Unstoppable Nipigie kwa 0714 13 73 02
Proudly powered by Blogger