Headlines News :
Home » » HUYU NDO KOCHA MPYA WA SIMBA

HUYU NDO KOCHA MPYA WA SIMBA

Written By Unknown on Saturday, January 12, 2013 | 4:09 AM

    Kocha mpya Simba Patrick liewig akiupitia mkataba wake kabla ya kuusaini.
   Kocha mpya Simba Patrick liewig akisaini mkataba wa miezi 18 kuifundisha Simba mbele ya Makamu Mwenyekiti Geofrey Nyange pamoja na katibu mkuu wa Simba Bwana Evodius Mtawala.
 Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange akiweka saini kwenye mkataba.
   Geofrey Nyange 'Kaburu ' na kocha mpya wa Simba wakibadilishana mikataba.
   Mwanasheria wa klabu ya Simba bwana Alan Maduhu akiweka muhuri kwenye mkataba
   Jamhuri Kiwhelu 'Julio ' akiwa pamoja na kocha mpya wa Simba Patrick Liewig
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Tutafute katika Facebook

Followers

SIKILIZA MZIKI

 
Thanx to: Eddie Sucre | Boniface Joseph | Brown Best
Copyright © 2011. Uwanja Wa Habari Na Burudani - All Rights Reserved
Imetengenezwa Na Gody Godwin Unstoppable Nipigie kwa 0714 13 73 02
Proudly powered by Blogger